duka.direct

Kuhusu duka.direct

duka.direct ni app ya simu kwa ajili ya manunuzi mtandaoni inayokuwa kwa kasi zaidi nchini Tanzania. App hii Inawaleta wanunuzi na wauzaji pamoja kupitia bidhaa mbali mbali muhimu, chakula, madawa n.k. duka.direct inakuhakikisha bei za chini kabisa na inatoa mchakato kamili kuanzia kuagiza mpaka unapoletewa oda yako, mchakato huu ukisindikizwa na malipo kwa njia mbalimbali na uwazi katika hatua zote.

Kwanini duka.direct

Bei Chee zaidi!
Tunafurahi kuwa vinara, kwa kuwa na bee nafuu zaidi!
Free Delivery!
Unaagiza, tunakuletea. Bure na kwa wakati! Vigezo na Masharti kuzingatiwa.
Lipa upendavyo

Mbali na cash, Lipa kwa Mastercard QR, mitandao ya simu, kadi za Visa na Mastercard

Ofa! Ofa! Ofa!
Bei za punguzo, ofa na Qwikrewards, duka.direct
ndio mahali pake
Usisahau msosi
Unaweza kuagiza uletewe ulipo, kwenda kuchukua mwenyewe
au kwenda kula mgahawani
Bidhaa bora!
Chapa mbalimbali za Kitanzania na Kimataifa zimetuamini.
Chukua kali hii kutoka duka.direct! Je, unafahamu kwamba ukifanya manunuzi nasi tunakurudishia 1% ya gharama za manunuzi yako kupitia #Qwikrewards?
Chapa mbalimbali za Kitanzania na Kimataifa zimetuamini na kutupa nafasi ya kukuletea bidhaa zao kupitia app yetu ya kisasa. Wingi wa aina ya bidhaa zinazopatikana utakufanya ukamilishe mahitaji yako yote ndani ya duka.direct
Bidhaa za watoto
Bidhaa za jikoni
Viungo
Tambi
Chai na kahawa
Vyakula vilivyoganda
Mahitaji binafsi
Bidhaa za nyumbani
Bidhaa za wanawake
Bidhaa za maziwa
Vinywaji laini
Snacks
Frozen delights
Mafuta
Pipi
Bidhaa za kuoka
Chombeza
Nafaka
Vyakula vya kopo
Mbegu, matunda yaliyokaushwa
Uza bidhaa zako. Wasiliana nasi sasa!
Barua pepe
Jina
Namba ya simu
duka.direct imeungana na migahawa mingi mashuhuri Dar es Salaam ili kukupa uwanja mpana wa kuchagua aina ya chakula upendacho. Kupitia upande wa chakula, Unaweza kuagiza uletewe mahali ulipo, unaweza kuweka oda na kwenda kula au kuchukua mwenyewe kwenye mgahawa.
Katika kukusaidia kupanga mlo, duka.direct inatumia alama maalumu
Unauza chakula? Jiunge na duka.direct sasa!
Barua pepe
Jina
Namba ya simu

Jinsi ya kutumia duka.direct
App ya duka.direct ina mfumo rafiki na rahisi kuanzia kujisajili, kuweka oda mpaka kuletewa oda yako
Jinsi ya kujisajili
na duka.direct
Pakua duka.direct app kupitia Appstore au Playstore kisha fungua > Bonyeza Jisajili “Akaunti yangu" > Ingiza jina >Namba ya simu > Barua pepe >Thibitisha >Kisha ingiza mamba ya siri ya muda > Unda namba ya siri mpya >Utakuwa umefanikiwa kujisajili
Jinsi ya kufanya manunuzi
Peruzi au tafuta bidhaa unayotaka kununua > Nenda "Add/Ongeza"> Gusa alama "+" kuongeza idadi > Gusa alama ya kikapu juu kulia > Gusa kitufe cha "Checkout" > Chagua kuletewa au kuchukua > Chagua au ongeza anuani > Chagua siku na wakati > Chagua njia ya malipo > Kamilisha
Jinsi ya
kuunganisha kadi
Nenda kwenye menu (Juu kushoto) > Nenda “Akaunti yangu" > Bonyeza “Taarifa za kadi" > Bonyeza “Ongeza kadi" > Ingiza taarifa za kadi yako
Jinsi ya
kuongeza anuani
Nenda kwenye menu (Juu kushoto) > kisha kwenye “Akaunti yangu" > kisha anuani ya kupokea oda > Ongeza anuani mpya > Tumia 'Maps' kuongeza anuani ya sehemu ulipo
Akaunti
yangu
Nenda kwenye menu (Juu kushoto) > Kisha bonyeza “Akaunti yangu" > Kupitia “Akaunti yangu" unaweza badilisha namba yako ya siri, anuani yako, unaweza kuunganisha kadi yako ya benki au kumkaribisha rafiki kutumia app ya duka.direct
Jinsi ya kuagiza
chakula
Katika menu ya chini >Gusa “Chakula" > Peruzi kupata mhagawa unaoutafuta > Peruzi kupata aina ya chakula > Andika jina la chakula kutafuta
Jinsi ya kutumia Qwikrewards
Wakati wa malipo “Checkout" > Sogeza kitufe cha Qwikrewards kushoto na kulia kuamua kiasi cha kutumia kulingana na mahitaji yako
Jinsi ya kutumia
promo code
Nenda kwenye kitufe cha "ofa" > Kisha bonyeza “Matangazo" > Nakili “Promocode" kwenda uwanda inapotumika "promocode"

Njia za malipo
Mastercard QR
Tumia QR Code au Pay Number maalumu kwa ajili ya oda yako kupitia Selcom Mastercard App, mitandao ya simu au
mobile banking
Visa | Mastercard
duka.direct inakuruhusu kuunganisha kadi ya benki ya Mastercard au Visa na kufanya Malipo kwa urahisi zaidi
Cash
duka.direct pia tunapokea malipo ya
pesa taslimu pale unapofikishiwa
mzigo wako.
Ofa! Ofa! Ofa!

Offer zone
Tembelea 'Offers' kwenye app ununue bidhaa kwa #beicheezaidi
Punguzo
mpaka 50%
NUNUA SASA
Qwikrewards
Kupitia Qwikrewards utarudishiwa 1%
pale utakapofanya malipo kidijitali kupitia Mastercard QR
Rejesho la
pesa
PATA REJESHO
Wasiliana nasi:
Simu: +255 659 430 043
Barua pepe: helpdesk@duka.direct
WhatsApp: +255 659 430 043
Viva Towers, Barabara ya Ali Hassan Mwinyi.
Dar es Salaam, Tanzania.
Haki zote zimehifadhiwa (c)duka.direct 2021
Made on
Tilda